Pale unapojaribu ku win majority sympathy kwa poor approach

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
HAKUNA Kauli yoyote ambayo sisi watanzania tutaielewa hasa kuhusiana na kule kubaya tulipotoka nyie wana CCM mnaotafuta uungwaji mkono kwa njia yoyote ile fahamuni tu sisi watanzania hatuwaelewi hata kidogo yaani hata mfanyaje shall be zero

Acheni #SSH aongoze kwa Amani amalize mihula yake miwili jinsi ulivyo utaratibu wetu kwa mujibu wa katiba yetu.

Ombi:Rais wetu tunakuomba upunguze upole japo ndio asili yako

ASALAAM ALEYKUM.
Tumetoka mbali na chama.
N.b,Wakati wa operesheni mbali mbali ni sasa na sio baadae. Tukingoja baadae tutajikuta timeshare chelewa.

FB_IMG_16410074014103016.jpg
 
"Sisi kama CCM hatukupanga Samia aje kuwa rais wetu, tulipanga aendelee kuwa msaidizi wa Rais Magufuli mpaka 2025, sasa Magufuli alipofariki dunia ghafla ndio ikabidi Samia aendelee pale alipoishia Magufuli ili kumalizia kazi za Magufuli alizozianzisha, hivyo 2025 tutakaa upya kama chama ili kutafuta mtu rasmi na sahihi atakayeongoza nchi yetu kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano"
 
Ndugai kasema 2025 tunaweza kuamua kutoa waliopo

Y
"Sisi kama CCM hatukupanga Samia aje kuwa rais wetu, tulipanga aendelee kuwa msaidizi wa Rais Magufuli mpaka 2025, sasa Magufuli alipofariki dunia ghafla ndio ikabidi Samia aendelee pale alipoishia Magufuli ili kumalizia kazi za Magufuli alizozianzisha, hivyo 2025 tutakaa upya kama chama ili kutafuta mtu rasmi na sahihi atakayeongoza nchi yetu kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano"
Quick response needed, mh. Samia ndiye rais wetu, tumekubali tumemuelewa Hakuna Kama yeye kwa sasa na ndiye mwenyekiti wa chama cha mapinduzi, tumewangamua, Kwa kuwa anaenda vyema ni bora akapatiwa kipindi cha pili, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
"Sisi kama CCM hatukupanga Samia aje kuwa rais wetu, tulipanga aendelee kuwa msaidizi wa Rais Magufuli mpaka 2025, sasa Magufuli alipofariki dunia ghafla ndio ikabidi Samia aendelee pale alipoishia Magufuli ili kumalizia kazi za Magufuli alizozianzisha, hivyo 2025 tutakaa upya kama chama ili kutafuta mtu rasmi na sahihi atakayeongoza nchi yetu kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano"
Mama samia tutamuongezea miaka saba mingine badala ya miaka mitano....nyie sukuma gang jiungeni na suma jkt mpindue nchi 😁😁😁
 
"Sisi kama CCM hatukupanga Samia aje kuwa rais wetu, tulipanga aendelee kuwa msaidizi wa Rais Magufuli mpaka 2025, sasa Magufuli alipofariki dunia ghafla ndio ikabidi Samia aendelee pale alipoishia Magufuli ili kumalizia kazi za Magufuli alizozianzisha, hivyo 2025 tutakaa upya kama chama ili kutafuta mtu rasmi na sahihi atakayeongoza nchi yetu kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano"
Hii kauli hawajaiona, watakaoiona na kuichambua italeta vita hapa 😂
 
The kick of dying horse! Hakuna anayeweza pambana dola! Njaa au sheria itakuadabisha!

Waulize Lowasa, Slaa, Kaburu wa Kigoma, Marandu etc.

Mama ataongoza kadri katiba inavyomruhusu na Mungu atakavyotaka. Hakuna yeyote narudia, hakuna yeyote anayeweza kumyumbisha!
 
HAKUNA Kauli yoyote ambayo sisi watanzania tutaielewa hasa kuhusiana na kule kubaya tulipotoka nyie wana CCM mnaotafuta uungwaji mkono kwa njia yoyote ile fahamuni tu sisi watanzania hatuwaelewi hata kidogo yaani hata mfanyaje shall be zero, Acheni #SSH aongoze kwa Amani amalize mihula yake miwili jinsi ulivyo utaratibu wetu kwa mujibu wa katiba yetu,
Ombi:Rais wetu tunakuomba upunguze upole japo ndio asili yako,
ASALAAM ALEYKUM.
Tumetoka mbali na chama.
N.b,Wakati wa operesheni mbali mbali ni sasa na sio baadae! tukingoja baadae tutajikuta timeshare chelewa.

View attachment 2064667
Duh
 
Ccm ni chama cha majizi , hii kauli imetolewa mara nyingi na hayati Dkt magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LAKINI PIA TUJIULIZE NI NANI MIONGONI MWETU AMBAYE ATAKAA PAHALA NA ASIWE MWIZI?, PENGINE NI BORA MUIZI WA MDA MREFU ANAWEZA KUWA NA HURUMA KIDOGO KULIKO AINGIE MWIZI MPYA, HUYU ATAKUFURU KABISA MAANA ATALIPIA NA MAUMIVU YAKE JINSI ALIVYOISOTEA HIYO NAFASI.
 
Jamaa yupo kwny daladala povu linamtoka anawasema CCM kwa wizi wakati huo huo kaokota Tiket kwny salafu ya Daladala anaishika kwa kuifinya finya kumzuga Konda aone alishalipa Nauli

Wengi tunawaonea Donge wezi kwa kuwa hatuna fursa ya kuiba sio kuwa tunachukia wizi
LAKINI PIA TUJIULIZE NI NANI MIONGONI MWETU AMBAYE ATAKAA PAHALA NA ASIWE MWIZI?, PENGINE NI BORA MUIZI WA MDA MREFU ANAWEZA KUWA NA HURUMA KIDOGO KULIKO AINGIE MWIZI MPYA, HUYU ATAKUFURU KABISA MAANA ATALIPIA NA MAUMIVU YAKE JINSI ALIVYOISOTEA HIYO NAFASI.
 
"Sisi kama CCM hatukupanga Samia aje kuwa rais wetu, tulipanga aendelee kuwa msaidizi wa Rais Magufuli mpaka 2025, sasa Magufuli alipofariki dunia ghafla ndio ikabidi Samia aendelee pale alipoishia Magufuli ili kumalizia kazi za Magufuli alizozianzisha, hivyo 2025 tutakaa upya kama chama ili kutafuta mtu rasmi na sahihi atakayeongoza nchi yetu kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano"
Mavi ya popo,nani wa kumfunga paka kengele?Mwenyekiti wa chama ndie paka mwenyewe.
 
LAKINI PIA TUJIULIZE NI NANI MIONGONI MWETU AMBAYE ATAKAA PAHALA NA ASIWE MWIZI?, PENGINE NI BORA MUIZI WA MDA MREFU ANAWEZA KUWA NA HURUMA KIDOGO KULIKO AINGIE MWIZI MPYA, HUYU ATAKUFURU KABISA MAANA ATALIPIA NA MAUMIVU YAKE JINSI ALIVYOISOTEA HIYO NAFASI.
Acha ku embrace tabia za kipumbavu, yaani umekaa hapo ulipo unajiandaa kuwa mwizi siku ukipewa ofisi ya umma. Shame on ya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom