Yes gentleman,
hapo ndipo pakutokea kirahisi kiuchumi. ni muhimu sana kujadiliana na kubadilishana mawazo na watu wenye pesa mingi zaidi ili upate mawazo na mipango ya kupata pesa mingi zaidi, lakini ni muhimu zaidi kujadiliana na waliofanikiwa zaidi ili nawe upate maarifa na mbinu za kufanikiwa zaidi..
kuzungumza na kujadiliana wasio na pesa ni kupoteza muda lakini pia kuzidisha ukata zaidi. kuambatana na waliofeli maisha ni kujichimbia katika kaburi la umaskini 🐒
Yote taaabu tu, kuwa hauna akili halafu ujadiliane na majitu yenye miakili kukuzidi.
Au kuwa na miakili halafu ujadiliane na watu wasio na akili kabisa.
Japo wataalamu wanasema, kama unapenda kujifunza ni bora mara mia ujadiliane na majitu yenye miakili kukuzidi utakua............... same na kwa utajiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.