TV ynyw haitakiwi kukaa sebuleniTutafute pesa friji haikai sebuleni
Shekhe hatari sana hii ila yote maisha unajibebea Sundar yako inch 43 kabisaa unajiona una bonge la tv kizazaa zaa baada ya mwezi unaona watu wawili wawili mara unamuona Majaliwa kanyoa kipara aaaah zile tv πππ
HahahahahahhShekhe hatari sana hii ila yote maisha unajibebea Sundar yako inch 43 kabisaa unajiona una bonge la tv kizazaa zaa baada ya mwezi unaona watu wawili wawili mara unamuona Majaliwa kanyoa kipara aaaah zile tv πππ