Pale unapotolewa nje ya kikao, halafu huamini amini hivi..

Huyo ni shujaa kupambana na mafisadi ya chama tawala ukiwa peke yako lazima uwe vizuri. Tuzidi kumwombea
 
Huyo mzalendo ipo siku tu atakuwa rais na kuwa nyoosha hawa vichaa wa ccm.
 
Huo ni mtego kwa CHADEMA, anatumwa ahamie na kuvuruga kura CHADEMA isishinde 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…