Pale unstoppable attacking force inapokutana na unbelievable attacking force.

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
.
Kitakwimu, No doubt hakuna team ambayo imefunga magoli mengi premier league msimu huu so far kuliko man city (35), Hakuna team yenye wastani mzuri wa umiliki wa mpira/possession zaidi ya city(61.1%), Hakuna team yenye ukamilifu wa pasi/pass completion zaidi ya city (88.5%), Hakuna team yenye mashuti mengi kila mechi/shots per game zaidi ya city (21.5), Hakuna team yenye mashuti yaliyolenga lango/most shots on target zaidi ya city (7.2), Hakuna team yenye dribbles nyingi per game zaidi ya city (13.9), Hakuna team iliyotengeneza nafasi kwenye open play, throughballs, crosses pia set pieces zaidi yao. Washambuliaji Sergio Agüero na Raheem sterling ni wa tatu na wa tano kwenye orodha ya wafungaji EPL so far. Kelvin De bruyne na David Silva ni wa kwanza na wa pili kwenye orodha ya watoa pasi za mwisho(assists) kwenye EPL so far..kwanini tusiwaite unstoppable attacking force???
.
Kitakwimu, No doubt Chelsea ndiyo team yenye worst defense ikiwa imeruhusu magoli (17) mengi zaidi kwenye ile top six, lakini haiwafanyi kutokuwa unbelievable attacking force in the premier league yenye youthful energy ikiongozwa na Tammy Abraham, Mason Mount na Christian Pulisiç wenye jumla ya magoli (19) peke yao kwenye premier league mpaka sasa. Chelsea ina wastani wa kufunga goli kila baada ya dakika 40 yaani magoli(2.25) kila mechi, Pia ina wastani wa kufungwa goli kila baada ya dakika ya 63 yaani magoli(1.42) kila mechi, Vile vile Chelsea ina wastani wa kufunga magoli mengi kati ya dakika (76-90') ikiwa na 23% kuliko dakika zote za mchezo.
-
Kimbinu, Guardiola hana budi kuingia na mfumo wa 4-3-3 kama kawaida akiwaacha zaidi wachezaji wake wacheze counter-attack ya disordered fashion pindi wapokonyapo mipira kwenye zone yao kuliko kutumia zaidi recycle possession na regain shape kama wafanyavyo katika michezo yao mingi, kwani Chelsea ina weakness kwenye transitions pindi wanapokuwa off the ball(timu ikiwa haina mpira) ikizingatiwa fullbacks za Chelsea zinakuwa overcommitted. hii itamsaidia De bruyne kucheza deep na kuhamisha mipira kwa haraka kwa kupiga zile vertical passes zake kwenye zone ya mpinzani kupitia gaps zinazoachwa between beki wa pembeni(Cesar/Emerson) na beki wa kati(Zouma/Tomori) na kuleta impact.
-
Kimbinu, Lampard basic approach yake inajulikana ni kupeleka mashambulizi mbele kwa haraka zaidi kwa kutumia zile straight passes kutoka kwa mabeki wa kati na viungo wa kati. Ambapo wale inverted wingers wanaingia ndani yaani kuufinya uwanja ili kuwepo na overloads (wingi wa mashambulizi) kwenye central attacking midfield na hii kuwafanya Willian, Mason na Pulisiç kutengeneza triangle kwenye final third ya mpinzani. Chelsea pia haina budi kuingia na mfumo wa 4-2-3-1 ikizingatiwa city wana weakness ya "error-prone centre-backs"(beki zenye kulazimishwa kufanya makosa) kwa kutumia zaidi positional disorganization kati ya Abraham, Mount, Pulisiç na Willian na kufanya zile diagonal runs kwenye ile zig zag backline ya City ambayo inaonekana kufanya makosa mengi kufuatia kutokuwepo kwa beki kiongozi Aymeric Laporte aliye majeruhi.
.
.
All in all tutegemee mchezo wa wazi wenye discipline kubwa, kasi na utengenezwaji wa nafasi kwa pande zote mbili.
 
Asante mwanagunnerz mwenzangu mwl Kashasha
 
game iko wazi hii, kimchezo na kimbinu chelsea hawezi fua dafu mbele ya man city
na kwa taarifa tu, chelsea akipigwa chache itakua ni 3 kwenda mbele

hawa jama hawawezi poteza mechi mbili mfululizo
 
Yeyote atakayepigwa kwangu sawa tu simuombei njaa yeyote kila mtu ashinde pale anapoweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…