kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ugumu wa maisha unaweza ukakufanya ufanye maamuzi sahihi au ufanye maamuzi kwa kushinikizwa.
Nikiangalia watu mtaani naona wote Wana hasira maisha magumu, wamechoka Kama wajumbe.
Hata mawakala wa chama kile waliotegemea umateumate wameambulia debe la mahindi ambalo litaisha kabla hata matokeo hayajatoka.
Ukimbuka ujalipwa mshahara, watoto hawana ajira, unadaiwa twenty ya kitambulisho, huna maji, huna pesa ya Kodi nk unagundua wajumbe walifanya maamuzi ambayo waliyafuarahia miyoni.
Wewe mpiga kura ni mjumbe wa furaha yako kwa miaka mitano, chagua haki uishi kwa haki.
Chagua dhuluma uishi kwa dhuluma.