Palestinian Mothers

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
7,908
Reaction score
2,478
I want to tell the world That

The Israelis are killing Us! and they have occupied our land by force.








I want to tell the world




********************************


I want to tell the world

A story










About a home With a broken lantern









And a burnt doll







About a picnic That wasn’t enjoyed















About an axe That killed a tulip

















A story about a fire That consumed a plait











a story about a tear that couldn't run down




I want to tell a story About a goat That wasn’t milked







About a mother’s dough That wasn’t baked














About a wedding That wasn’t celebrated










And a baby girl that didn’t grow up












About a football That wasn’t kicked







About a dove That didn’t fly







I want to tell a story About a key That wasn’t used












About a classroom That wasn’t attended














About a playground That was silenced








About a book That wasn’t read














About a besieged lonely farm

And about its fruits That weren’t picked






About a lie that wasn't discovered







A story about a Palestine church That’s no longer prayed in






And a palestine mosque That no longer stands







And a culture No longer rejoiced






















I want to tell a story About a muddy grassy roof








About a stone That faced a tank







And about a stubborn flag That refuses to lie down













About a spirit that cannot be defeated





I want to tell the world A story








Now Light a little candle for Palestine










You can do it





Light a candle One little candle

Watch the darkness fade away



Just try it out



One ray of light


Wipes away the gloomiest

Jet-black nights

As the dawn breaks




Just observe



Can you see that

All the might of darkness

In the world
Cannot extinguish
The faintest flicker

Of a beam of light




Light a candle

One little candle


Watch the darkness fade away




You can do it








Hey.. WORLD

Did you hear me?

The Israelis are killing Us! and they have occupied our land by force.

 
Jitolee uwe suicide bomber kama wenzako huko Pakistan,Afghanistan na Iraq.Ili uwakomboe hao waarabu wako wa Palestine.
 
Jitolee uwe suicide bomber kama wenzako huko Pakistan,Afghanistan na Iraq.Ili uwakomboe hao waarabu wako wa Palestine.

Hee Mkuu!

Kumbe wewe una support kuuliwa kwa waarabu bila ya hatia yeyoyote ile!

kwani waarabu si watu?
 
Hee Mkuu!

Kumbe wewe una support kuuliwa kwa waarabu bila ya hatia yeyoyote ile!

kwani waarabu si watu?

nani kakuambia wapalestina ni waarabu? ina maana hata mmatumbi akiwa mwislamu anakuwa mwarabu? Wapalestina walioko Gaza ni wafilisti (philistines) vita yao na wayahudi ilianza miaka mingi pengine zaidi ya 2000 kabla ya Yesu. Na wakati huo arab land/area was there and Islam wasnt there. Dig history of Ghazans, you will know. Goliath akifufuka leo asikie unamwambia kuwa ni mwarabu atakuona wewe ni juha wa kutupwa.

Wapalestina walio Westbank + Jordan are descendants of Essau a twin brother of Jackob these are known as amonites and edomites. Na ndiyo maana wanaelewana na Israel wana wa Yakobo. Tabia yenu ya kulichukulia jambo la palestine katika issue ya udini ndiyo inasababisha amani isiwepo pale.
The philistines wa gaza are not arabs, kwa kukusaidia nenda kisutu duka la wapelestina wanaouza vitambaa kawaulize kama ni waarabu usikie watakacho kuambia.
 
ila picha hizi zinatia huruma sana kuziangalia, mungu aepushe mauaji kwa watoto wadogo wasiokuwa na hatia, awape faraja watoto wote duniani, awakinge na mateso ya dunia, awapumzishe na misukosuko inayochukua utu, thamani na mara nyingine uhai wao, mungu wafunike watoto kwa mwanvuli wako wa huruma, upendo na matumaini.
 

Hamas nao waache kuua watoto wasio na hatia wa Israel ambao hata picha zao hatuonyeshwi! Amina.
 
Hee Mkuu!

Kumbe wewe una support kuuliwa kwa waarabu bila ya hatia yeyoyote ile!

kwani waarabu si watu?

Uwe una angalia na upande mwingine wa coin ndo ushabikie, siyo unakurupuka!
Kama wewe unamkoa konzi simba unategemea akutazame tu? Atatafuna mpaka kichuri chako! Open your eyes!
 
Hee Mkuu!

Kumbe wewe una support kuuliwa kwa waarabu bila ya hatia yeyoyote ile!

kwani waarabu si watu?

Aisee hujaona na wewe jinsi wa palestina wanavyojilipua bila kujali watakufa na wapalestina wenzao au vp!na jinsi wanavyochinja wa islaeli.Ntapublish picha za wapalestina wanavyofanya nikipata mda uone.Yaani hapo ni kuwaacha tu wajuane wenyewe.maana wote tu wanafanyiziana.
 

Kaka nimependa hii analysis yako sana. Inaonekana unaijua historia vizuri sana haswa kuhusu huu mgogoro wa Israel na Palestina.

Naomba kwa manufaa yangu na wengine, endapo una muda utusaidie kutuelimisha chanzo cha mgogoro huu manake mie sasa kila siku ni kuhusu peace middle east...! Imekua kama wimbo haswa katika haya mataifa makubwa kama Marekani na washirika yake...!
 
bora umwambie maana watu wengine wakurupuka tuu wallah....
 
nakwambia mie watu wajikurupukia tuu..kwanza kajitu kanyewe kageni kaa hivi mie,,, halafu bado yumooo wallah kanikera na keshaniharibia my day,,,
Uwe una angalia na upande mwingine wa coin ndo ushabikie, siyo unakurupuka!
Kama wewe unamkoa konzi simba unategemea akutazame tu? Atatafuna mpaka kichuri chako! Open your eyes!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…