Ni PAMBA JIJI, zamani ilikuwa PAMBA Fc baada ya kuwekwa chini ya uongozi wa JIJI ndio ikabadili na kuitwa PAMBA JIJI ila hili jina halijakaa poa wangeacha jina la zamani au wangeita PAMBA MwanzaAfu hili jina Sijalielewa....
Ni Pamba F.C , ni Mwanza jiji au
Pamba Mwanza Jiji?
Hii inaondoa asili. Wangeacha iitwe vile vile Pamba F.C ya Mwanza..
Hii ni sawa na kusema 'Yanga GSM Afrika'.