Basi watoe neno 'Jiji' katika jina lao.Jina lake ni la Kihistoria. Libaki hivyo hivyo ni fahari ya Mwanza.
Hivyo itakuwa vizuri kuliko kuondoa jina kabisa. Jina linabeba ubingwa wao ule waliochukua, na lina fan base sema basi tu timu haina mwekezaji.Basi watoe neno 'Jiji' katika jina lao.
Sunderland ni jina lisila na historia. Na kuna sababu za msingi kabisa kuliondoa maana timu ya wazawa kwenye kutafuta uhuru unaiitaje jina kama la timu ya nchi nyingine tena ya mkoloni. Bado hata miaka ya baadae wangelazimika kulibadili.Kihistoria Simba ilikuwa inaitwa Sunderland, lakini walibadilisha jina kuwa Simba kutokana na mazingira
Pamba 🔥.Hivyo itakuwa vizuri kuliko kuondoa jina kabisa. Jina linabeba ubingwa wao ule waliochukua, na lina fan base sema basi tu timu haina mwekezaji.
Ipofufuliwa au iliponunuliwa? Ni sawa na KMC tu sio vingine ila KMC jina wamaipa la kwao Kinondoni na hao Mwanza hio timu ya Pamba ipo Halmashauri ipi?Timu hii ilipofufuliwa tena chini ya Halmashauri ya jiji la Mwanza, imeendelea kutumia jina la Pamba ambalo halina uhusiano wowote na timu hiyo sasa hivi.
Una logicPamba United ilikuwa timu iliyokuwa inamilikiwa na chama cha ushirika cha Nyanza Cooperative Union, ambacho kilikuwa kinajihusisha na zao la pamba tu. Timu hii ilipofufuliwa tena chini ya Halmashauri ya jiji la Mwanza, imeendelea kutumia jina la Pamba ambalo halina uhusiano wowote na timu hiyo sasa hivi.
Ni wakati wa kubadilisha jinal lake kutoka Pamba na kujinabisha na jiji la Mwanza tu, nafikiri waitwe Mwanza City United, au kwa kiswahili Mwanza Jiji
Si kweli mwamba, kwanza niseme mm ni arsenal lia lia na nina uchungu kukosa UEFA CLJina ni historia ya timu ndio maana hata Arsenal hawajabadili.
Na wajue tu kwa kanda ya ziwa sisi tunakua hakuna shabiki wa Simba asiekuwa shabiki wa Pamba, na tena Pamba ndo huwa ya kwanza then Simba.Hivyo itakuwa vizuri kuliko kuondoa jina kabisa. Jina linabeba ubingwa wao ule waliochukua, na lina fan base sema basi tu timu haina mwekezaji.