Hydrogen peroxideUmeathiri mfumo wa sauti na pamba haijatoka yote
Kuna dawa inauzwa kati ya elfu tatu na elfu tano ni ya maji ukiiweka kidogo tu sikioni itafoka na chochote kilicho ndani ya sikio kitapanda juu bila kuguswa
Hospital gani mkuu??Pole sana utapona tu hata me nilingiwa na mende skioni nikaenda spital waliitoa ila badae nikuwa naskia limeziba nikarudi tena spital wakanipa dawa ya kuweka mpaka sasa niko vizuri
Hospital gani mheshimiwanenda kafanye wax removal
Dar GroupHospital gani mheshimiwa
Nenda Regency hospilal kuna ENT specialist pale.Habari jf,
Wanajukwaa wiki tatu zilizopita nilikua natoa uchafu sikioni kutumia pamba stick, sasa kwa bahati mbaya pamba ikabaki ndani ya sikio, nikaenda kituo cha afya, wakachukua mabomba ya sindano wakajaza maji wakayapush ndani ya sikio, lakini sikio likazidi kuziba, nilivyorudi nyumbani nikachukua tena pamba stick likalizibua likazibuka.
Sasa tatizo langu sikio limeanza kuziba tena, nimeenda hospital wameangalia wamesema hawaoni kitu ndani, lakini mimi nasikia kabisa sikio limeziba.
Jamani anaefahamu hospital yoyote inayotoa huduma ya masikio kwa usanifu anielekeze kwa Dar es salaam
Spital=hospitalPole sana utapona tu hata me nilingiwa na mende skioni nikaenda spital waliitoa ila badae nikuwa naskia limeziba nikarudi tena spital wakanipa dawa ya kuweka mpaka sasa niko vizuri
Iko wapi hiyo mheshimiwa maana nimeenda muhimbili nimeishia kuumia zaidi, maana wemejaribu kunitoa na ncha fulani hivi iliyochongoka ya plastic lakini wameshindwa wakidai pamba imeenda deep zaidi, na mwanzo nilikua sisikii maumivu lakini walivyoingiza hiyo ncha ndo maumivu yameanzaNenda Regency hospilal kuna ENT specialist pale.
yeah mzuri sanaaa anaitwa dokta Edwin ashawah kunitibu sikio liliziba piaNenda Regency hospilal kuna ENT specialist pale.
Anatibu kwa kutumia nini mkuu, na ninaomba kuelekezwa ilipo hiyo hospital, maana nimeenda muhimbili wakawa wanajaribu kunitoa na ncha fulani hivi ya plastic iliyochongoka, kwa kweli walizidi kuniumiza na pamba hawakuitoa wakidai iko mbali sana, wakaniambia niende alhamis kwenye clinic yao, lakini naona siwezi kuvumilia mpaka alhamis maana sikio linauma sana,yeah mzuri sanaaa anaitwa dokta Edwin ashawah kunitibu sikio liliziba pia
Tatizo mimi nilienda kuitoa, wakaniumiza na ncha ya kutolea na bado haijatokaMkuu ata mm ni mwenzi wa 7 sasa pamba ipo sikioni yangu akuna maumivu yoyote paka nichokonoe sikio