Kwa kadri ya reporter wangu, kadai hizi pamba za masikio sio nzuri, kwa kadri unavyozidi kutumia, unaousukumiza kiasi flani cha uchafu katika interior part of the ear. Sasa huu uchafu ukigusa part flani ya sikio kwa ndani(kiwambo-not sure) unasababisha maumivu makali ya kichwa, hata unywe pain killer au mseto, mamumivu hayo hayaishi na huwezi hata kulala. kwa ufupi uchafu wa sikio ukizidi, unajikusanya na unatoka wenyewe auto. So the use of earstick is highly restricted!
Habari ndo hiyo.
teh teh teh like when u're digging your nose!! hahaha.mmh! mi huwa nikionaga pamba za maskion, maskio yanaanza kuwasha najikuta nimechukua naanza kuzungusha taratiibu.. kama unavyojua ukijichokonoa lazima ulegeze macho hata uwe nani.. maana kuna raha flan hivi..! sasa kumbe ni its not advisable?!!
Sizinga uko sahihi. Mimi si daktari lakini yamemkuta mtu wangu aliyekuwa akipenda sana kuchokonoa maskio kwa hizo cotton buds. Sasa hivi ana hali ngumu, alipokwenda kwa dr alielezwa kama ulivyoeleza kwenye post yako kwamba hakuhitaji kutoa huo uchafu kwani hutoka wenyewe.
Mbaya zaidi, sikio moja ndilo lililokuwa gonjwa lakini sasa limeambukiza lingine. Amejaribu dawa zote za hosp kwa mabingwa Nairobi nk nk lakini wapi. Mwinshowe ameamua kutafuta mafuta ya kenge baada ya kuambiwa ni dawa. TUWE WAANGALIFU NA MASKIO.
Mwenye maelezo juu ya matumizi ya MAFUTA YA KENGE kama dawa ya masikio atujuze tafadhali.
Mh!
Siku zote kitu chenye ncha chongofu ukikichovya/zamisha kwa kina kirefu halafu ukachokonoa kiukweli utapoteza raha ya tendo. So jfunze kuchokonoa ktk kina kfup na kwa ustadi zaidi sio kwenda NUNGWI muda wote.... Utazama!!!
Kwa kadri ya reporter wangu, kadai hizi pamba za masikio sio nzuri, kwa kadri unavyozidi kutumia, unaousukumiza kiasi flani cha uchafu katika interior part of the ear. Sasa huu uchafu ukigusa part flani ya sikio kwa ndani(kiwambo-not sure) unasababisha maumivu makali ya kichwa, hata unywe pain killer au mseto, mamumivu hayo hayaishi na huwezi hata kulala. kwa ufupi uchafu wa sikio ukizidi, unajikusanya na unatoka wenyewe auto. So the use of earstick is highly restricted!
Habari ndo hiyo.tupe njia mbadala. asante!
ni kweli pamba za masikio si nzuri kama una uchafu (exsesive ear wax) kuna mafuta ya maji maalum ambayo yatasafisha masikio yako. Sikio lina sehemu kuu 3 nje, kati , na ndani sikio la kati lina ngoma(ear drum) ambayo ni nyembamba sana na imeungana na vifupa vidogo sana viitwavyo ossicles ambavyo kazi yake ni kuvibrate ili ili kutrassmit sound kwenda sikio la ndani.ukitumia pamba unafanya kazi ya kuisokomeza ngoma ya sikio mwishoe ita stuk na kuwa kiziwi
Kwa kadri ya reporter wangu, kadai hizi pamba za masikio sio nzuri, kwa kadri unavyozidi kutumia, unaousukumiza kiasi flani cha uchafu katika interior part of the ear. Sasa huu uchafu ukigusa part flani ya sikio kwa ndani(kiwambo-not sure) unasababisha maumivu makali ya kichwa, hata unywe pain killer au mseto, mamumivu hayo hayaishi na huwezi hata kulala. kwa ufupi uchafu wa sikio ukizidi, unajikusanya na unatoka wenyewe auto. So the use of earstick is highly restricted!
Habari ndo hiyo.tupe njia mbadala. asante!
hahaaa, acha mauchafu yajae yatatoka yenyewe...teheteheeee