Pre GE2025 Pambalu: Wakati huu tunamhitaji Tundu Lissu atusaidie kuwakabia CCM kwa juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
John Pambalu, Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025 amesema

"Wakati tulionao unahitaji kuona tuna mabadiliko kwenye chama huo ndio ukweli wakati ni ukuta huwezi ukabishana nao, na nisimame kama Mwenyekiti Mstaafu (wa BAVICHA) sifurahishwi na maneno ambayo viongozi wetu hawa wawili wamekuwa wakishambuliwa nayo hiyo si siasa tunaenda hoja kwa hoja. Lissu kaweka hoja zake hadharani tutumie hizo kumuombea kura. Mwenyekiti apewe heshima yake Mheshimwa Lissu apewe heshima yake."

"Lakini naamini kwa wakati wa sasa ili tuwarudishe CCM kwenye drawing board kuona wanaweza kuanza kushindana vipi kwenye boksi la kura lazima tumlete Tundu Lissu kwa sababu mpango wao(CCM) unajulikana na unajua kabisa tukiendelea kuwa na uongozi huu(chini ya Mbowe)mpango wao unajulikana. Lazima tuwakabie kwa juu, CCM lazima tuwakabie kwa juu. Ili tuwakabie kwa juu lazima tupate viongozi wenye msimamo mkali”
 
Pambalu anajidanganya kuikaba CCM.Serikali za mitaa mmeshindwa
 
Ila Lissu akiongoza, siasa zitakua na amsha amsha sana, nchi itachangamka hadi raha.....
 
MBONA HAJAMTOA SLAA HUYO LISU WAKO?
 
Pambalu anajidanganya kuikaba CCM.Serikali za mitaa mmeshindwa
Tungeweza vipi huku Mbowe anakunywa nao kahawa na kutwa kucha kumsifu mwenyekiti wa ccm?
Uwezo wa kufikiri wa Mbowe uneshuka sana.
 
John Pambalu, Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025 amesema

"Wakati tulionao unahitaji kuona tuna mabadiliko kwenye chama huo ndio ukweli wakati ni ukuta huwezi ukabishana nao, na nisimame kama Mwenyekiti Mstaafu (wa BAVICHA) sifurahishwi na maneno ambayo viongozi wetu hawa wawili wamekuwa wakishambuliwa nayo hiyo si siasa tunaenda hoja kwa hoja. Lissu kaweka hoja zake hadharani tutumie hizo kumuombea kura. Mwenyekiti apewe heshima yake Mheshimwa Lissu apewe heshima yake."

"Lakini naamini kwa wakati wa sasa ili tuwarudishe CCM kwenye drawing board kuona wanaweza kuanza kushindana vipi kwenye boksi la kura lazima tumlete Tundu Lissu kwa sababu mpango wao(CCM) unajulikana na unajua kabisa tukiendelea kuwa na uongozi huu(chini ya Mbowe)mpango wao unajulikana. Lazima tuwakabie kwa juu, CCM lazima tuwakabie kwa juu. Ili tuwakabie kwa juu lazima tupate viongozi wenye msimamo mkali”
Weka clip
 
Back
Top Bottom