Pambana kushinda sio kushindwa

Pambana kushinda sio kushindwa

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Allhamdulillah
Pambana kushinda sio kushindwa.

👤 Tengeneza mazingira ya kusaidia ila sio kusaidiwa.
👤 Jipange kujiajiri sio kuajiriwa.
👤 IQ yako ndo uwezo wako so jitahidi kutoka hapo ulipo.
👤 You are the Champion
💥💥💥🙏🇹🇿
 
0e611ac075f46ab979362e120704914f.jpg
 
Moja ya vitu nilivyokataa kwenye maisha yangu ni kusubili msaada wa mtu...
.
Nachukia sana hasa napoona Kijana yupo yupo tu hafanyi chochote ili kuibadili hali ya maisha yake yupo tu anasubili ahadi alizoahidiwa na ndugu kuwa watamsaidia...
.
Ila ndo ivyo tena watu washazoea kuishi kwa misaada bila hivyo mambo hayaendi.
 
Back
Top Bottom