Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama unakumbuka hapo awali neno maarufu lilikuwa ni utaisoma namba, ilikuwa tu ukikosea kitu na ukijichanganya kitu fulan watu walikuwa wanasema utaisoma namba
Lakin kwa sasa kitaan kumenuka mambo yamebadilika ukilikologa au ukijikologa au ukiigia chaka watu watakwambia pambana na hali yako
Hata mimi na masela kwa sasa kijiwen neno ni moja tu pambana na hali yako
Ni hayo tu
Jumapili njema mazee
LONDON BABY