Pambana na hali yako.

Pambana na hali yako.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Msemo huu maarufu wa jf umekuwa chachu ya maisha yangu kubadilika,tangu nikutane nao ingawa kwa 100% siyo msemo rafiki sana,nimefanikiwa kupambana na mambo mengi ninayopitia kila siku kwa amani zaidi.
Jamani nasema kila mtu apambane na hali yake bila kuchoka.
Tchao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napambana na hali yangu.
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??

Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...

kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..

Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Back
Top Bottom