ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
PAMBANA NA HALI YAKOMsemo huu maarufu wa jf umekuwa chachu ya maisha yangu kubadilika,tangu nikutane nao ingawa kwa 100% siyo msemo rafiki sana,nimefanikiwa kupambana na mambo mengi ninayopitia kila siku kwa amani zaidi.
Jamani nasema kila mtu apambane na hali yake bila kuchoka.
Tchao.
Sent using Jamii Forums mobile app
ipo ya kitambaa au kadeti
Siku hizi wanasema usitingishe na za wengine
Busara nyingine hiyo,Siku hizi wanasema usitingishe na za wengine
Sent from my iDevice using Tapatalk
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??Napambana na hali yangu.
Mmm umeanza lini tena J tabia hii? Mbona kama ni mpya au ....ok.ipo ya kitambaa au kadeti
Umenichekesha tu, nothing serious.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikuwa utani mkuu take it easy!!
Sent from my iDevice using Tapatalk