Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 8,774 Reaction score 13,566 Jun 11, 2022 #1 Kama unamatatizo na unaona aibu kusema kwa Ndugu yako na kumueleza ukweli, jua basi huna matatizo wewe, hujakutwa na Matatizo bado.
Kama unamatatizo na unaona aibu kusema kwa Ndugu yako na kumueleza ukweli, jua basi huna matatizo wewe, hujakutwa na Matatizo bado.
Mpwayungu Village JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 14,540 Reaction score 30,875 Jun 11, 2022 #2 Upo sahihi kabisa
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,383 Reaction score 9,337 Jun 11, 2022 #3 Mi nasikia Kwa watuback kuwa ndoa yake inaelekea kiblaaaa....migogoro ya hapa na pale Ila hajawahi niambia lolotee....itakuwa Hana matatizoo
Mi nasikia Kwa watuback kuwa ndoa yake inaelekea kiblaaaa....migogoro ya hapa na pale Ila hajawahi niambia lolotee....itakuwa Hana matatizoo
Mtamba wa Panya JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 764 Reaction score 1,892 Jun 11, 2022 #4 Duh
K kissa anyigulile JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 1,550 Reaction score 1,742 Jun 11, 2022 #5 Matatizo mengine mengi husababishwa na ndugu haohao tena kwa kiwango cha kutaka kukuondoa uhai! Sasa sijui unamaanisha ndugu aina gani?
Matatizo mengine mengi husababishwa na ndugu haohao tena kwa kiwango cha kutaka kukuondoa uhai! Sasa sijui unamaanisha ndugu aina gani?
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 8,774 Reaction score 13,566 Jun 13, 2022 Thread starter #6 Lovebird said: Mi nasikia Kwa watuback kuwa ndoa yake inaelekea kiblaaaa....migogoro ya hapa na pale Ila hajawahi niambia lolotee....itakuwa Hana matatizoo Click to expand... Hana matatizo huyo, acha apambane na hali yake
Lovebird said: Mi nasikia Kwa watuback kuwa ndoa yake inaelekea kiblaaaa....migogoro ya hapa na pale Ila hajawahi niambia lolotee....itakuwa Hana matatizoo Click to expand... Hana matatizo huyo, acha apambane na hali yake
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 8,774 Reaction score 13,566 Jun 13, 2022 Thread starter #7 kissa anyigulile said: Matatizo mengine mengi husababishwa na ndugu haohao tena kwa kiwango cha kutaka kukuondoa uhai! Sasa sijui unamaanisha ndugu aina gani? Click to expand... Ndugu ni mtu yeyote ambae unaukaribu nae na mnasikilizana kwa mazuri, kazi (utafutaji) na hata katika shida.
kissa anyigulile said: Matatizo mengine mengi husababishwa na ndugu haohao tena kwa kiwango cha kutaka kukuondoa uhai! Sasa sijui unamaanisha ndugu aina gani? Click to expand... Ndugu ni mtu yeyote ambae unaukaribu nae na mnasikilizana kwa mazuri, kazi (utafutaji) na hata katika shida.