Pambano kati ya Myweather na Gregor ni $ 150000. Tu

Pambano kati ya Myweather na Gregor ni $ 150000. Tu

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Mpambano huo utafanyika Agost 26, katika uwanja wa T_mobile mjini las vegas
Kiingilio ni usd 150000.
Sawa na zaidi ya sh za madafu ml 330
Na tiketi zinauzwa kama njugu, woote mnakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dstv Leo wanajitangaza wamepata haki ya kuonyesha pambano hili kilichonikera ili uweze kuona inabidi ulipie premium package.
Swali langu hivi hawa dstv hawana ubunifu kwanini wasitengeneze special package ya event hiyo tu iwe pay preview hata MTU ukilipia 20,000 walau kwa coverage ya tukio tu naamini ingepata watazamaji wengi kuliko kutupa mawazo ya Ku upgrade kifurushi cha august - September mpaka premium.182000 nyingi sana wajue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiogope jamani hizo ni siti za mbele kabisa karibu na watoa point wa mchezo. Ila siti zetu za bukujero zipo kama kawaida.
 
Hiyo ni bei mojawapo za resale market.

Ticket bei ni hizi na hizo ni kuyoka kwenye bei ya batch ya kwanza ya mauzo.
$500
$1,500
$2,500
$3,500
$7,500
$10,000

Ungesikia/kusoma vizuri ungejua nini haswa kimejiri.. kuna wengine wanauza 100k, 20k, 50k etc kutegemea na wapi seat ipo

Watu wanawekeza... akili kumkichwa
 
Dstv Leo wanajitangaza wamepata haki ya kuonyesha pambano hili kilichonikera ili uweze kuona inabidi ulipie premium package.
Swali langu hivi hawa dstv hawana ubunifu kwanini wasitengeneze special package ya event hiyo tu iwe pay preview hata MTU ukilipia 20,000 walau kwa coverage ya tukio tu naamini ingepata watazamaji wengi kuliko kutupa mawazo ya Ku upgrade kifurushi cha august - September mpaka premium.182000 nyingi sana wajue.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa hili pambano tu.
Hata wakati wa mechi kubwa mbalimbali.
 
TV1 hawataonesha hili kama walivyofanya pambano la Antony Joshua na Klitchisko?
 
Back
Top Bottom