Mpambano huo utafanyika Agost 26, katika uwanja wa T_mobile mjini las vegas
Kiingilio ni usd 150000.
Sawa na zaidi ya sh za madafu ml 330
Na tiketi zinauzwa kama njugu, woote mnakaribishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe utaenda mkuu Mi mtakuwa huku Wiki ijayoMkuu tuwekee link ya site wanayouza ticket
Ni kweli na hapa nadhani ntaenda mwenyeweWakuu haya nayosikia ni kweli? Èti hilo pambano bei ya ticket USD 150000 zaidi ya million mia tatu naa za kibongo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nshalipia hivyo mimi sijui vipi sasaMleta mada kama kitu hukijui au huna uzoefu nacho bora usiwe unapost tu
Tayari nshakamata VIP mkuu
Mi pia mkuu sit no ngapi?Tayari nshakamata VIP mkuu
Sio kwa hili pambano tu.Dstv Leo wanajitangaza wamepata haki ya kuonyesha pambano hili kilichonikera ili uweze kuona inabidi ulipie premium package.
Swali langu hivi hawa dstv hawana ubunifu kwanini wasitengeneze special package ya event hiyo tu iwe pay preview hata MTU ukilipia 20,000 walau kwa coverage ya tukio tu naamini ingepata watazamaji wengi kuliko kutupa mawazo ya Ku upgrade kifurushi cha august - September mpaka premium.182000 nyingi sana wajue.
Sent using Jamii Forums mobile app