Hebu mtumbue aiss maana hakuna namna nyingine tenaHiyo avatar yako nayo ni jipu,,,kama jecha
Mkuu maelezo mengi lakini hoja zako za mwisho ndo zimeonyesha ukweli kua Cheka amepewa ushindi kwasababu wa kwetu walifanyiwa hivyo then Ni sahihi Cheka kupewa ushindi wa Mezani.wewe mwenyewe na Kaseba wanakiri pambano lilishakua zito kwa Cheka Ni uzoefu uliomfikisha round ya 12,Binafc nilikuwepo kwenye lile pambano kimtazamo cheka alizidiwa sana lakin tukirud kitaalam cheka amepiga punch nyingi saana na yule msebria alikua kazi yake ni kujilinda na akitafuta KO ambacho ni kitu kibaya sana kwa bondia kama cheka ambaye anapumzi na sugu tulijua hili pambano lingekwisha kipindi cha kwanza tu lakin usugu wa cheka na kujiandaa kucheza 12 round ndio kumesababisha kichukua mkanda pia cheka amepiga one two nyingi sana pamoja na jeb za mkono wa kushoto japo zilionekana hazina madhara kwa msebria kunawakat aliacha uso waz na jeb za cheka ziliweza kupenya japo ki uhalisia zilionekana hazina madhara lakin ni point tatu muhim ushindi ambao hua hauna lawama ni KO peke yake tujifunze hata mabondia wetu wanapo toka nje mambo kama haya hua yapo kabisa mfano ni huyo huyo cheka mwenyewe nimesahau ni nchi gani watu huwa wanawambia chukua kama dola 2000 uachie pambano cheka kakataa baada ya kuona pambano limekua gumu yule second wa cheka ambae ni mkenya yy alikua kachukua pesa akaruha taulo kwamba bondia wangu hawezi kuendelea na pambano cheka anashangaa vp tena lakin ndio hivyo tauro imerushwa round ya 6 cheka kashindwa kujieleza kwa sababu na kiingrish hakipandi mkenya kamuuza hayo ni baadhi tu ya machache wanayo yapata mabondia wetu mwisho kwa kosmas cheka kashinda huko thailand tena kwa KO lakin wale waandaaji wakagoma kutoa mkanda wakasema tutakutumia hayo ndio madhila wanayo yapata manondia wetu wakiwa nje mwisho ni lazima tunyesha uzalendo tena kwa mkanda mkubwa kama huo inakuaje mtu achukue mkanda kwa point hiyo haiwezekan kabisa asante cheka lazima tukuunge mkono
Mkuu kusema kua Cheka kashinda kihalali ni kujidanganya nafsi waziwazi... sio ukweli kabisa alionekana kazidiwa, mwanzo mpaka mwisho kabisaaNawapongeza sana kwa kufatilia mchezo wa masumbwi nchini na support inahitajika sana kuinua vipato vya mabondia na kuinua mchezo kwa ujumla. Mpambano wa jana Fransis Cheka ndio mshindi halali wa mchezo wa jana. Hakuna figisufigisu wala nini. Mchezo wa ngumi una vigezo kwenye kutoa maamuzi. Kwanilivyoshuhudia mtanange ule pale leaders ni wazi Cheka alistahili kushinda bila tatizo. Ukiangalia kumiliki jukwaa, Kujilinda na Kushambulia cheka ndio amefanya zaidi ya Mserbia. Ili upewe round moja kama umeishinda au la unalazimika kupigana round zote 3 kitu ambacho mpinzani wetu hakufanya hivyo. Alitumia muda mwingi kujiziba asishambuliwe (kujigadi) na kurusha makonde machache kila round. Cheka alikua busy muda wote kushambulia japo si makonde yote yaliyo mfikia usoni mserbia ila ni rahisi kumshawishi judge atoe uamuzi kwa upande wako. Nilimshangaa sana mwalimu wa yule jamaa hakumwmabia afanye mashambulizi wakati round zilikua zinayoyoma. Mserbia alikua kwenye nafasi nzuri sana ya kumuondoa cheka kwa knockout lakini hakutumia fursa hiyo kwa uwoga wake. Alionekana mwenye ngumi kali na nzito mfano round ya kwanza alipoweza kumuangusha Cheka chini.Kwa maoni yangu mserbia alishinda round 3 tu na cheka 9. Mserbia alicheza kwa uwoga mwanzo mwisho na anajua Cheka hana nguvu za kumwangusha. Tuendelee kupenda vyetu kwa ushindi wa cheka ni wa halali na hauna mashaka hata kidogo kwakua mserbia hakupigana round 3 zote alijificha dk 2 na kujionyesha dk 1 huwezi kushinda kwa style ile. Tena mimi nilidhani mserbia anamvuta Cheka hadi raound ya 7 ili aanze kushambulia amtoe kwa knockout kabisa lakini haikua hivyo.Hata angekuja judge kutoka ulaya au pambano lingepiganwa nje ya nchi bado cheka angeshinda
Cheka ndio bingwa mpya wa mabara.Hongera Cheka , Hongera Tanzania
Usihukumu ngumi kwa kutumia mawazo yako au maoni. Jua mchezo na jinsi wanavyotoa point kwa kila round. Mserbia hakupigana round zote tatu. No ring generalship, alitumia muda mwingi ku block ngumi za Cheka na si kupiga zake. Kama tungekua tuna record ngumi zilizorushwa kwa round cheka 50/20 mserbia 16/10 ambayo asingeweza kushinda. Hakushambulia kabisa zaidi ya kushitukiza kwa dk isiyozidi moja. Cheka dk 2 kafanya kazi ya kupiga mserbia dk 1 ndio apewe ushindi?Kivipi? Cheka amemu outbox yule jamaa very big marginMkuu kusema kua Cheka kashinda kihalali ni kujidanganya nafsi waziwazi... sio ukweli kabisa alionekana kazidiwa, mwanzo mpaka mwisho kabisaa
Acha urongo Cheka kapigwa bila ubishi.. Na hakuna aliponyang'anywa point.. Cheka hata ngumi moja ya uso hajampiga yule jamaaTafuteni calculation za Majaji tuone ndo tuukumu. Kiufupi Cheka amepiga ngumi nyingi na za kiufundi kwenda kwa mpinzani wake! (May weather style). Mserbia amenyang'anywa point Mara mbili kwa kucheza faulo za kumkaba Cheka na anajua refa alimwambia! Someni ukumu kutoka kwa majaji sio hisia zenu!. Kama kushangilia kwa Cheka ata May weather hakushàngilia kwa kuwa hakujua kuna nini kwa majaji, dhidi ya Pacquiao, Ushindi wa points una mambo mengi, kama faulo, ngumi nyingi za kupapasa, kupiga kwenye groups,na kadhalika ambazo wewe Unaweza esabu lakini majaji hawaziesabu.SI KILA MWENYE MBIO USHINDA MCHEZONI, ILA NI BAHATI ,TAIMING NA WAKATI!.(Biblia Mhubiri)soma.
3 Nape nnauye mzee wa bao la mkono ndio waziri wa michezoKumbe nyie hamjui ngumi aise.
Hizi ndio sababu why Cheka alishinda bila chenga.
1.Cheka ni CCM damu.
2.Cheka alishaingia jela tena kwa kuonewa kabisa na Bar med.
Ni hivyo tu basi.
Cheka ana mfupa mwepesi sana, hana ngumi nzitoHivi cheka ngumi zake sio nzito eee