Matope JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 892 Reaction score 683 Feb 18, 2012 #1 Wakuu mapambano ya awali nda yanaanza sasa hv then baadae tuone mrusi na muingereza nani zaidi maana walizozana sana wakati wanapima uzitoi hawa jamaa juzi!
Wakuu mapambano ya awali nda yanaanza sasa hv then baadae tuone mrusi na muingereza nani zaidi maana walizozana sana wakati wanapima uzitoi hawa jamaa juzi!
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Feb 18, 2012 #2 nalingoja hili pambano sana tu...dogo mwingereza juzi aligwa fain baada ya kum punch kilch..halafu huyu klichi sio mrusi
nalingoja hili pambano sana tu...dogo mwingereza juzi aligwa fain baada ya kum punch kilch..halafu huyu klichi sio mrusi
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Feb 18, 2012 #3 faaini ya dola elfu 50
Matope JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 892 Reaction score 683 Feb 18, 2012 Thread starter #4 Ukraine kaka typing error sorry wadau!dogo sijui labda itokee kama ya zambia na CIV!!!!
M Mwera JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 964 Reaction score 90 Feb 18, 2012 #5 chanel gani inaonesha live wakuu?
Matope JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 892 Reaction score 683 Feb 18, 2012 Thread starter #6 SS2 mkuu angalia!
M Mwera JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 964 Reaction score 90 Feb 18, 2012 #7 Matope said: SS2 mkuu angalia! Click to expand... asante matope!