Pambano la Mayweather vs. Logan

Jingine la kujifunza ni influence ya youtube na instagram ambayo kibongobongo tuna tabia ya kudharau. Nakumbuka posts za mwanzo kabisa za mayweather vs logan walitaja namba zao kwenye insta.
Yes, tunachukulia poa mitandao ya kijamii ila hao jamaa ukiambiwa mkwanja wanaopiga kupitia YouTube pekee unabaki kushangaa. Ndio maana namuheshimu sana Millard Ayo hapa bongo
 
60 Billion kwa ile exhibition?..ma.mae watu wanatengeza dola bhana
Kwa kukumbatiana Round 8 [emoji28][emoji28], unaambiwa Floyd siku moja kabla hajapanda ulingoni alikuwa ashaingiza $ 30 mil, baada ya pambano atakuwa kapiga mpunga mwingi maana hapo anajumlisha na mauzo ya PPV.
 
Yes, tunachukulia poa mitandao ya kijamii ila hao jamaa ukiambiwa mkwanja wanaopiga kupitia YouTube pekee unabaki kushangaa. Ndio maana namuheshimu sana Millard Ayo hapa bongo
Sure
 
Bongo promota anataka kuandaaa pambano la Dulla Mbabe vs Kiduku mshindi anapewa gari😀.
 
Izi exhibition matches zina haribu boxing kama ilivo taka kuharibu mpira ile super league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…