Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Jumamosi ni siku ya kwenda kula mbuzi Kibaha(Loliondo). Lakini kwa ugumu wa hela nikaona nisiende Kibaha nilipie kifurushi ili kumuona Muuza Madafu wa Ikulu akipambana ulingoni.
Saa moja mapambano yakaanza na tukamuona Muuza Madafu anaingia kwenye uwanja hivyo nikajua hapa kweli jamaa atapigana. Kwa kweli sikuwa na mzuka na main card iliyokuwa kati ya Nassib Ramadhani na Juma Choki. Mzuka ulikuwa kwa Barnabas Alexander(Muuza Madafu).
Nimehuzunika kuona nimelipia kisimbuzi ila mechi niliyoitaka haikhwepo. Hii ni mara ya pili azam wanatufanyia uhuni mara ya kwanza ilikuwa pambano la Mwakinyo ambapo wakapigana siku nyingine kimya kimya.
Huu uhuni umenisababishia hasara ya hela yangu ya kifurushi ambayo ningeweza kwenda kula mbuzi au hata kuupa pole moyo wangu.
Azam mmezingua