Pambano la Mwakinyo lafutwa

Pambano la Mwakinyo lafutwa

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1716884903251.png

Kaminsheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC limesitisha pambano la ngumi baina ya bondia Mtanzania Hassani Mwakinyo dhidi Pactick Allotey kutoka Ghana kutokana na promota kushindwa kukidhi vigezo, moja ikiwa ni malipo kwa mabondia hao na pili ni ukumbi ambao utachezwa pambano hilo kutofikia viwango.

Taarifa zaidi kukujia hivi punde
 
Sijui wewe kama unaichukulia nzuri ukiwa unanengua kipindi Mwakinyo akiimba.
Jibu swali nililokuuliza kwanza,
Swali langu ni kuhusu kua huko kwenye taarabu mnapiga hela ndefu?
Sijakuuliza kama taarabu ni nzuri au mbaya.
 
Jibu swali nililokuuliza kwanza,
Swali langu ni kuhusu kua huko kwenye taarabu mnapiga hela ndefu?
Sijakuuliza kama taarabu ni nzuri au mbaya.
badilisha nzuri kuwa ndefu maneno yaliyobaki yatajibu swali lako.
 
Back
Top Bottom