Angeanza kuimba taarabu tu.Mwakinyo aachane na ngumi aanze kulinda (bodyguard)atapiga hela nzuri kabisa
Bodyguard itamfaa sanaAngeanza kuimba taarabu tu.
ushamsikia akiimba taarab? Bi. Kidude akasome.Bodyguard itamfaa sana
Huko kwenye taarabu mnapiga hela nzuri?Angeanza kuimba taarabu tu.
Sijui wewe kama unaichukulia ni nzuri ukiwa unanengua kipindi Mwakinyo akiimba.Huko kwenye taarabu mnapiga hela nzuri?
Jibu swali nililokuuliza kwanza,Sijui wewe kama unaichukulia nzuri ukiwa unanengua kipindi Mwakinyo akiimba.
badilisha nzuri kuwa ndefu maneno yaliyobaki yatajibu swali lako.Jibu swali nililokuuliza kwanza,
Swali langu ni kuhusu kua huko kwenye taarabu mnapiga hela ndefu?
Sijakuuliza kama taarabu ni nzuri au mbaya.