Upuuzi mtupu, yaani professional boxer anapigana na ubf fighter alafu watuvwanakomalia pambano, huyu mayweather anachezea watu akili inatakiwa apigwe ndo aheshimu boxing!!
Akishinda kuna watu watamuota eti mayweather ni genius.
Kweli boxing umepoteza mvuto siku hizi! Sio dile endi za kuamka adubuhi za kina tyson, bruno, lewis, holyfield etc!