Pambano la ngumi Floyd Mayweather vs Mikuru Asakura leo Septemba 25, 2022

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu tumelala na ngumi, tunaamka na ngumi.

Azam Sports 1 HD mpambano wa Floyd Mayweather v. Mkuru Asakuba ndiyo uko hewani muda huu.

Tupeni feedbacks mnaocheck
Tumjue nani ni mandonga wa mbele
 
Na lengo lake ni kutochafua Rekodi yake ya kutopigwa. Hataki kupigana na wanao mzidi. Anapigana kiujanja ujanja.
 
Mjapani round yapili tu kala ngumi yasikio chali
 
floyd ndio tabia yake anatafuta mabondia choka mbaya wasiokuwa na uzoefu ili awapige aendelee na Rekodi yake nimeangalia rekodi za uyo mjapani ajawai kushinda pambano ata moja linalotambuliwa na shirikisho la ngumi duniani
 
Sijawahi kumshabikia Mayweather, ila kitendo cha kutupiwa ua chini kilifanya nitake ashinde. Na ameshinda. Haka katoto kakijapani sio kabaya kanahitaji mapambano zaidi yenye pressure.
 
floyd ndio tabia yake anatafuta mabondia choka mbaya wasiokuwa na uzoefu ili awapige aendelee na Rekodi yake nimeangalia rekodi za uyo mjapani ajawai kushinda pambano ata moja linalotambuliwa na shirikisho la ngumi duniani
Ila Floyd Ngumi anajua yule.
Niliangalia pambano lake na Conor Mcgregory.
Hakika mwamba ana Techniques za kurusha na kukwepa ngumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…