Pambano la ngumi Floyd Mayweather vs Mikuru Asakura leo Septemba 25, 2022

Ila Floyd Ngumi anajua yule.
Niliangalia pambano lake na Conor Mcgregory.
Hakika mwamba ana Techniques za kurusha na kukwepa ngumi
Anajua atukatai toka pambano lake na Pacquao yaliyofuata yote uwa ana andaa mwenyewe na kuchagua bondia anayemtaka kwa body language tu yule mjapani mimi nilishaona awezi kufika mbali
 
Anajua atukatai toka pambano lake na Pacquao yaliyofuata yote uwa ana andaa mwenyewe na kuchagua bondia anayemtaka kwa body language tu yule mjapani mimi nilishaona awezi kufika mbali

Siku hizi ngumi zimekua biashara ndugu yangu. Watu wanaangalia fursa za kupiga hela tu bila kuchafua cv wala kutumia nguvu nyingi. Ndio maana mchezo wa ngumi kwa kiasi kikubwa umezorota kulinganisha na miaka ya nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…