Pambano la ngumi hili mliliona?

Pambano la ngumi hili mliliona?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Kwa mara ya kwanza TZ pambano la ngumi lilioneshwa live
kupitia youtube....ajabu watu chini ya 500 tu ndo walikuwa live
kutazama

najiuliza why hali hii?

kuna sababu iliyofanya watu wachache hivyo kujitokeza kutazama?


 
Hili pambano lilikosa promo. Nadhani lilifanyika Dar Live jumapili iliyopita
 
Kwasasa mchezo wa ngumi sio priority kwetu...
 
biashara matangazo vipi walitangaza kama kutakua na kitu kama icho?
 
Hivi vipicha aerial vya drone naona ni magumashi matupu waambie wasirudie tena
 
Hovyo kabisa maandalizi huwezi ukaleta ring linalotereza kihasi hicho kila wakati wachezaji wanataka kuanguka
 
Back
Top Bottom