Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Whyte anatafuta pesa.Huyu si ndo alimpiga wilder sasa ngoja tuone leo kama achapiki
So karata ya ushindi kwa % nyingi inaangukia kwa tyson?Whyte anatafuta pesa.
.
Nowadays hakuna ndondi it's about the purse.
.
Hata majamaa wa UFC wanadai kujitosa Kwa ring na heavyweights Ili wavute Mpunga.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Whyte cant win shittSo karata ya ushindi kwa % nyingi inaangukia kwa tyson?
Tyson fury ametetea mkanda.Mbona hamtoi update vipi huko au pambano limehairishwa?