Pambano la Ngumi Kati ya Usyk vs Joshua

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Napenda kuwapa Taarifa Kwamba Kuna Pambano la Marudiano Kati ya Bondoa Usyk v. Joshua.

Pambano Hilo la Uzito Wa Juu (World heavyweight champion) litafanyika Trh. 20 Mwezi August 2022, Katika Jiji la Jeddah, Saudi Arabia.

Nani Kutoka Kifua Mbele?


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Joshua atapigika Tena kibaya Zaid ko inamhusu huyo Jamaa anakpiga balaa na left yake ,pia Joshua anakata Sana upepo
 
Aleksandr Usyk.. bonge la jitu. Usiombe akujaze na left yake- heee! Aisee.

Anthony Joshua anaelewa vyema kilichomtokea last time, maana ilikua obvious toka mwanzo wa pambano kuwa Usyk anashinda ila walimbeba beba mpaka pambano kuamuliwa kwa anonymous decision.

Ajipange aisee!
 
Vyombo vya UK vilimjaza Sana bichwa huyu Joshua
 
AJ alitandikwa na mkanda akaachiwa naona anaona aibu kujiita bingwa mtetezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…