Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
By the way usually A side gets all the benefits of all that. I actually like Canelo but as a fan of boxing, I thought it was a little biased against billy boy.Canelo Alvalez ni monster.
The best pound for pound boxer wa kizazi hiki au ata wa muda wote....
Triple G Mnyama haswaaa nundaaSawa tunaomba arudiane na GGG
GGG ali mpush Canelo to his limits,, kila nikiangalia match ya kwanza naona Canelo alibebwa,,Triple G Mnyama haswaaa nundaa
ila kwa Saul atakaa tenaaa
GGG aliyepigana naye kipindi kile sio wa sasa, hayupo kwenye ubora ule nadhani kwa sababu ya umri. Wakikutana now anaweza kupigwa KO maana Canelo ubora wake umeongezeka. Kwa maoni yangu anayeweza kumsumbua Canelo ni Jermal CharloSawa tunaomba arudiane na GGG
Sahihi mkuu ile ilikua controversial draw.GGG ali mpush Canelo to his limits,, kila nikiangalia match ya kwanza naona Canelo alibebwa,,
Jermal nae moto namkubar yule bishooGGG aliyepigana naye kipindi kile sio wa sasa, hayupo kwenye ubora ule nadhani kwa sababu ya umri. Wakikutana now anaweza kupigwa KO maana Canelo ubora wake umeongezeka. Kwa maoni yangu anayeweza kumsumbua Canelo ni Jermal Charlo