Mkuu ni PM namba ya huyo babu mlikua mnatazama pambano kabla halijaanza. Huyo hata mshana haoni ndani.Poleni sana wanasimba. Yanga wameshashinda bao mbili. Simba wamekosa mabao ya wazi kabisa. Inasikitisha lakini hali ndo ipo hivyo. Mchezo umeshaisha kabla haujaanza na hii ndo sifa ya mpira wa Tanzania. Tuna kazi kubwa sana. Nawatakia weekend njema.
Poleni sana wanasimba. Yanga wameshashinda bao mbili. Simba wamekosa mabao ya wazi kabisa. Inasikitisha lakini hali ndo ipo hivyo. Mchezo umeshaisha kabla haujaanza na hii ndo sifa ya mpira wa Tanzania. Tuna kazi kubwa sana. Nawatakia weekend njema.
Kwann unadanganya watu kwamba simba wamekosa magoli ya waz !!!! Kama yap na nan kakosa???Poleni sana wanasimba. Yanga wameshashinda bao mbili. Simba wamekosa mabao ya wazi kabisa. Inasikitisha lakini hali ndo ipo hivyo. Mchezo umeshaisha kabla haujaanza na hii ndo sifa ya mpira wa Tanzania. Tuna kazi kubwa sana. Nawatakia weekend njema.
Ni chizi pekee ambaye hajui kuwa leo ndala walinufaika na mbeleko ya mama....Dah, huyu jamaa kweli ameimaliza mechi kabla ya kuianza, KikulachoChako inabidi huyu jamaa tumchukue kwa utabiri.
Pole sanaInategemea upo wapi. Hapa mataa ya Chang'ombe kuna mvua imepita hadi tukakimbilia kujihifadhi kwenye makorido ya nyumba jirani
Utashangaa hata wachambuzi mbuzi wa Bongo watafanya makosa hayo hayo. Hadi leo hawajui kwamba jina la timu mwenyeji ndiyo hutangulia kuandikwa.
Ushabiki wa timu zao unawapofua
Kwenye wajinga unaendelea kuwa mjinga. Bado kidogo utakuwa mpumbavu.hili wala si jambo geni au la kusema kuwa kulifaham ni special. watu wanatamka simba na yanga kwa kufata urahisi wa kutamka na wala haihusiani na ushabiki au kutokujua. yaani umesikia sikia hilo nawe ukawa unatafuta wapi pa kukosoa au kuonesha unajua. mjinga akierevuka mwerevu kaa chonjo kwa kweli.