Pambano la Tyson kuonyeshwa Netflix live

Pambano la Tyson kuonyeshwa Netflix live

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of CHI_20241115_185744_0000.png


Mwana YouTube wa zamani Jake Paul na bondia mashughuli Mike Tyson wamekua wakitishiana kitambo kuzichapa kuonyeshana mbabe nani toka July's 20 mwaka huu 2024 lakini pambano lilighailishwa.

Hatimaye watazichapa Leo rasmi ijumaa tarehe 15/11/2025 tukio litaonyeshwa Live Leo Moja kwa Moja ulimwenguni kote majira ya saa 20:00pm usiku kwa saa za Afrika mashariki.

Kabla ya Tyson kupambana na Peter kutakua na mapambano Mengine kama vile 👇
• Neeraj Goyat na. Whindersson Nunes
• Mario Barrios na. Abel Ramos
• Taylor na Amanda Serrano watapambana kuwania taji la Dunia la uzani wa super light.

Kama unayo program ya Netflix kwenye Tv, simu , tablet utaweza kutizama live pambano lao Leo live👊.

#netflix #netflixboxer #boxing #tyson #peter #pambano #ngumi #netflixshows #azamtv #azamsports2
 
Hii match ya wanatafta hela za kustaafia🤣ngumi hamna humo
 
Back
Top Bottom