Pamoja na Azam Fc kuingia uwanjani kinyumenyume kama ndugu zao Simba, Bado wamekandwa

Azam wameniudhi sana. Yaani walikuwa na wiki mbili zote za maandalizi wakati Yanga imekuwa njiani kila kukicha hivyo wachezaji wake wote wamechoka sana. Vile vile Yanga haikuwa na mastaa wakuu kama Mayele, Azizi Ki, na Moloko ambao hawapo halafu Azam bado wamechezea kichapo cha mbwa koko. Inaonekana Yanga hii ni untouchable giant.
 
Simba ni timu kubwa sana ndio maana lazima itajwe hata kama hachezi, Jana kilikuwa na fainali ya klabu bingwa Africa kama uliangalia ulisikia Simba ikitajwa mara kwa mara pamoja na kwamba ilikuwa haichezi na nyie kutaka maujiko mmeona Bora muitaje ili fainali yenu ionekane Ina umuhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…