Pamoja na hujuma wanazofanyiwa, Chadema wanaendelea na ujenzi wa ofisi za majimbo

Pamoja na hujuma wanazofanyiwa, Chadema wanaendelea na ujenzi wa ofisi za majimbo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hiki chama kwa sasa ni kama kimeshindikana, hawawezi tena kukitoa kwenye reli , pamoja na unyama wote wanaotendewa lakini hawaachi mikakati yao ipotee.

Hebu jionee mwenyewe

Wakati_mwenyekiti_wa_chama_Mh._Freeman_Mbowe__yupo_Gerezani,_ujenzi_wa_Ofisi_za_chama_unaendel...jpg
Ujenzi_wa_ofisi_za_Chadema_jimbo_la_Mbarali_eneo_la_Madibila,_Mbeya,_unaendelea,_kwa_nguvu_za_...jpg
 
Mwaka huu chadema lazima wamnyoe mtu sirini by any means hata kama ni kwa kutumia meno
 
Safi Sana........! Na Ufipa pasisahaulike....Vile Vibanda pale Vinatia Aibu.!!
 
Hahahaaaa...... Naona vitofa vya kuchoma vinaunganishwa kwa tope la udongo!
Bwashee kumbe Mzee Mgaya ndiye katuolea dada yetu, ni lazima umsikilize na kumtii kama unaishi kwake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom