Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mtu ambaye hajawahi kujenga chochote na anaishi kwa shemeji yake hawezi kuelewaHizo ni ofisi au darasa la shule ya msingi?
Mbona serikali wanashindwa kujenga madarasa.Hizo ni ofisi au darasa la shule ya msingi?
Madarasa si ndio hayo yaliyowashinda serikali kuyajenga mpaka watoto wanasomea chini ya miti.Hizo ni ofisi au darasa la shule ya msingi?
Hahahaaaa...... Naona vitofa vya kuchoma vinaunganishwa kwa tope la udongo!Mtu ambaye hajawahi kujenga chochote na anaishi kwa shemeji yake hawezi kuelewa
Mtu ambaye hajawahi kujenga chochote na anaishi kwa shemeji yake hawezi kuelewa
Atasomea mama yakoHizo ni ofisi au darasa la shule ya msingi?
Hahahaaaa..... Manka umeshafura!Atasomea mama yako
Uchumi wako umeukaliaHizo ni ofisi au darasa la shule ya msingi?
Cdm tulianza na mungu na bado tupo na mungu na tutamaliza na munguSafi Sana ,watatema NDOANO tu NZI WA KIJANI.
Sasa hivi wanaota wao ndiyo wanakufaIle ndoto ya Chadema inakufa naona wengi wameacha kuiota.
Bwashee kumbe Mzee Mgaya ndiye katuolea dada yetu, ni lazima umsikilize na kumtii kama unaishi kwake [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa...... Naona vitofa vya kuchoma vinaunganishwa kwa tope la udongo!
Ofisi za CCM zote zimejengwa kwa kodi ya WananchiHizo ni ofisi au darasa la shule ya msingi?
Hayo ni madarasa ya kufundishia itikadi za chama pendwa, karibu nawewe update darasa karibuni.Hizo ni ofisi au darasa la shule ya msingi?