PAMOJA NA JKT AWAMU YA TATU UDOM YATOA MAJINA 4th BATCH NA WANATAKIWA KURIPOTI TAR.12 MWEZI WA KUMI

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Kwa hali hii wewe unaitathmini vp?...je serikali ya jk imeshndwa au jeshi linanguvu? For mor info visit..udom website..!updated-boy!
 
Sasa hichi kikoleji si zao la mimba ya uchochoroni kati siasa ya mavimbwendelei manyinyiemu, yani kikoleji hch na jkt ni vnafanana iq 2 manina... Ndugu yangu akija soma udom 2namzila kama familia. Nimemaliza yaaani.. Af 2cbshane nini me ndo nasepa nini,
 
asee tukuongeze viroba au sembe?
 
Watu wengine inaonekana wanywa gongo na viroba wamejaa akili mbovu na matusi ndo wanachojua hebu mcheki huyu anajiita michrz.
 
Sasa hichi kikoleji si zao la mimba ya uchochoroni kati siasa ya mavimbwendelei manyinyiemu, yani kikoleji hch na jkt ni vnafanana iq 2 manina... Ndugu yangu akija soma udom 2namzila kama familia. Nimemaliza yaaani.. Af 2cbshane nini me ndo nasepa nini,

Sijaelewa kitu.andika kwa kiswahili
 
Back
Top Bottom