Pamoja na kiingilio kuwa bure, Wasafi washindwa kuujaza Uwanja wa Uhuru

wabongo kwa roho mbaya hatujambo, makusudi watu wametengeneza taharuki ili watu waogope kuhudhuria kwa wingi ilimradi tu wapate chakusema.
Taharuki gani ilitengenezwa mkuu?..al shaabab kuwa uwanjani au nini?
 
Mbongo huyu anayeweza kwenda kuangalia rangi inavyoganda ukutani asitumie hii fursa ? Labda hakupata habari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…