Wanawake wa kibongo wengi ni comedians wanajifanya wamempokea sana Yesu ila wana shindwa kuiiga tabia ya Mama ake Yesu, kwa roho moja aliolewa na fundi vitanda mwenye kipato duni, ila wao wanatafuta benki meneja, mwenye BMW, bungalow nk.
Ndo maana wengi huchelewa kuoa au kuolewa nyie watu acheni uzizi oeni mtu yoyote bila kuzingatia kazi yake au kipato huo ndo ukuristo halisi.
Ndo maana wengi huchelewa kuoa au kuolewa nyie watu acheni uzizi oeni mtu yoyote bila kuzingatia kazi yake au kipato huo ndo ukuristo halisi.