LGE2024 Pamoja na kudaiwa kushinda Uchaguzi kwa zaidi ya 100% Wanaccm Wanaona aibu, hawashangilii

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Vipi kikao chenu za Kamati Kuu kimesemaje?
 
Reactions: Tui
Kwa wakati huu hata sisimizi anauwezo wakupata taarifa zaidi ya binadamu asiyekuwa na uhitaji wa taarifa.
Kwaiyo wewe unataarifa zaidi ya makamu mwenyekiti kama ni hivyo basi hicho sio chama ni genge la wahuni.
 

Wabongo wapo busy na uchaguzi wa Marekani kuliko uchaguzi wao πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…