LGE2024 Pamoja na kudaiwa kushinda Uchaguzi kwa zaidi ya 100% Wanaccm Wanaona aibu, hawashangilii

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wewe chawa bwege Hata makamu mwenyekiti amekiri hamkajiandaa na uchaguzi harafu wewe unaleta hekaya siasa ni sayansi uchawa na propaganda vishapitwa na wakati
Wakati ndio mbinu ya ushindi na kufanikisha wizi wa mabox ya ushindi.
 
Wana CCM kushangilia ushindi siyo hadi waingie mabarabarani maana ushindi kwao ni mazoea na si jambo la ajabu sana
 
Washangilie nini wakati hawajui nini kilichotokea Botswana kitawasili na kwasomba hadi kutupwa jalalani kama siyo kwenye shimo la moto? Wevi wakubwa hawa tena machawa wachafu kama awafugaye.
 
Wizi,wizi,wizi ndo umeipa ushindi ccm,hayo unayosema hayana mashiko
 
CCM Haijashinda Wenye Akili Wote Wanajua Kilichofanyika
Yale Ni Maigizo Ya Kaole Sanaa Group
 
Sasa washangilie nini, kwani ni simba na yanga hiyo?

Viongozi wa maana hawashangilii ushindi, wanatafakari majukumu yanayowasubiri.
 
Nìmeshinda Uenyekiti wa Kijiji kupitia CHADEMA..japo kwa Mbinde.tena nikiwa away kazini.Nimezindua kampeni Live na kufunga Live_Kibabe mno...OCS Nilimtandika ngumi- Nilishindwa kuvumilia uhuni bwana.
 
WAMEWAHADAA NA KUWAPIGA WATANZANIA NA KITU KIZITO NA HAWAOGOPI CHOCHOTE
NA BADO UCHAGUZ MKUU UNAKUJA
 
Uchaguzi wa kweli uliokuwa na vibe mtaani - ni kipindi JK anapata muhula wa kwanza 2005..JK kuna namna alifanya - yaani kuanzia watoto, vijana, wanawake, wanaume mtaani walikua wanashangilia - huyu jamaa alikua nakismat sio..Toka hapo...hamna uchaguzi uliopendeza tena kamwe...
 
jammii forum hata sijui huwa mnaish wap. au masaki wenzetu.? mitaan huku ile juzjion siku ya matokeo tumeshindwa kulala kwa vigoma na matarumbeta. au wewe mkuu unaish diaspora. ? au ulitaka washerekew vipi? hiv mim sina chama ila najiuliza wote humu toka babu bibi mpaka mjukuu mmesomeshwa na Serikali ya chama.bab na bib zetu walikua nakad za tanu and they were proud to be. wachen ngeee''ngee
 
je tupo katika nchi inayotawaliwa kiimla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…