Mambo! Moja kwa moja kwenye mada: Hapa ofisini kwetu mi ni mgeni kiasi, nina miezi kadhaa tangu niajiliwe hapa. Nimetokea kumpenda sana msichana mmoja ambaye yuko bomba kinomi. Demu wala siyo wa kujiskia ingawa ni mzuri. Naye ananichangamkia sana. Kwa vile sina kikwazo home nilianzisha soga za kutaka kumnasa. Kuna mtu ambaye kwa kweli tunaheshimiana na tunajuana kwa muda mrefu sana baada ya kuona naelekea kumtaka yule dada alinieleza wazi kwamba niwe mwangalifu kwani huyo binti ameshaathilika na ngoma. Nikashtuka, lakini moyo bado haujaamini na bado nampenda; nifanyeje jamani?:dance::amen:
Hapo kwenye Red....Je,utamlisha nini huyo ?Labda mtakula magodolo.....Iweke vizuri mheshimiwa manake toto nnalolizungumzia kulivumilia inataka hadi uache kazi!:rapture:
Kama una uhakika unataka kumuoa basi sio mbaya ukamweleza nia yako kwa uwazi na yeye kama ameathirika akiwa muungwana atakuambia au akikubali kuwa muoane ni jambo jema lakini mpe condition kwamba lazima muende kupima VVU ili kujua hali zenu hapo ndo utajua ukweli kuwa ameathirika au laa! kuna watu wengi hasa wadada akiwa mzuri tu watu wanaanza ohoho kaathirika kumbe wivu tu umewajaa .
Lakini kwa jinsi ulivyoleta hii sred yaonekana wewe ni mzinzi/kitombi tu na huna haja ya kuoa ila ni chovya chovya tu kila sehemu, angalia sana kuchoma choma kubaya utaishia down ......yaani unataka kumaliza K zote za hapa duniani? we vipi bana??
Iweke vizuri mheshimiwa manake toto nnalolizungumzia kulivumilia inataka hadi uache kazi!:rapture:
Acha tamaa fuata taratibu sio kila umuonaye unataka kugonganisha vikojoleo!itakula kwako!Mambo! Moja kwa moja kwenye mada: Hapa ofisini kwetu mi ni mgeni kiasi, nina miezi kadhaa tangu niajiliwe hapa. Nimetokea kumpenda sana msichana mmoja ambaye yuko bomba kinomi. Demu wala siyo wa kujiskia ingawa ni mzuri. Naye ananichangamkia sana. Kwa vile sina kikwazo home nilianzisha soga za kutaka kumnasa. Kuna mtu ambaye kwa kweli tunaheshimiana na tunajuana kwa muda mrefu sana baada ya kuona naelekea kumtaka yule dada alinieleza wazi kwamba niwe mwangalifu kwani huyo binti ameshaathilika na ngoma. Nikashtuka, lakini moyo bado haujaamini na bado nampenda; nifanyeje jamani?:dance::amen: