briophyta plantae
Senior Member
- Feb 18, 2017
- 117
- 132
Soka la Tanzania kwa sasa limekuwa sana na ushindani ni mkubwa mnoo ila nashangaa kwanini serekali haioni umuhimu mkubwa wa kuboresha hata vile viwanja ambavyo tunavyo tayari viendane na hadhi ya kiwango cha soka letu kwa sasa.
Ukienda arusha ukaona huo uwanja wao wa mpira kwa jiji kama lile ni aibu tu.hivyo vyoo tu yenyewe hapana kwakweli.
Ukienda jiji la mbeya uwanja ndo huo kama wa vita.
Jijini mwanza pia tangu mwanza iitwe jiji hakuna lolote,uwanja wa hovyo.
Hizo pitch sometimes unaweza ukasema hivi u serious wetu huwa uko wapi? Kina azam wanajitahidi sana na wadau wengine binafsi,ila kwa support ya serekali sijaona bado.viwanja tunavyo vingi,ni uboreshwaji tu wa kisasa unahitajika.