Pamoja na kupoteza Ajax Wapo Vizuri Sana

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa aliyetazama game ya Real Madrid na 'watoto'wa ajax Amsterdam atakujax baliana nami kuwa madogo wapo vizuri sana
Nakumbuka Jana Kipindi cha Kwanza karibu chote Mpira umechezewa half ground upande real madrid,kula walivyojitahidi Madrid hawakufanikiwa
Mbali ya ajax kupata goli lililokataliwa na waamuzi kwa msaada wa Var system ati ilikua offside vijana hawa waliweka presha kubwa ambayo walichezewa fail za wazi na refa kuonekana dhahir kuibeba real Madrid
Kiukweli timu ya ajax wanastahili pongezi kubwa kwa aina yao ya uchezaji inayoenda tofauti na umri wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walichokosa wale madogo wa Ajax ni Maturity
 
Ajax alitoa sale na Bayern 3-3 ile sio Tim ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…