Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Inaonekana kutaka kujamba sana ila ghafla umeacha vipi tena mtani? Bora ungejamba kabisa timu gani hiyo inayofungwa ila inacheza juu ya kiwango. Timu zote zimeonja maumivu ya kufungwa isipokuwa 1 tu. Waliosema mwaka 2022 Simba itaanza kugungwa atakapocheza na Azam,maajabu Azam ndio waliowafunga wao. What goes around is what comes around.