Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 486
Hallo Wana JF
Pamoja na kuwepo kwa Utitiri wa Viwanda Vya Cement hapa BONGO lakini Bado wengi hukimbilia Cement za Nje.
Umewahi kujiuliza kwa nn Viwanda vya vyote hivi na bado Cement haitoshelezi!? Je kwa nn waliowengi hukimbilia kununua imported Cement!?
Naileta Mada hii kwenu Waungwana tuweze kujulishana kwa nn Viwanda vyote hapa Bongo havitosheleze kuzalisha Cement itakayokidhi Mahitaji ya Watanzania.
Na Je, Kwa nn Cement ya Iliyozalishwa humu Ndani iuzwe bei sawa na Imported licha ya gharama za usafirishaji toka huko na Kodi pia!? Je Ndio kusema kusema kuwa Cement ya hapa nyumba tunauziwa kwa Bei y kuruka sana!?
Kwa Utafiti Mdogo nlioufanya, Ukinunua Cement Grade-1 toka Dubai pamoja na kuusafirisha hadi hapa Bongo bei yake haizidi 5080 kwa Mfuko Mmoja kabla ya Kodi.
Sasa iweje Cement ya hapa Nyumbani iuzwe kwa Bei ya Juu kiasi cha Mfuko kufikia Tsh 15,000/-!?
Tuombe Mungu DANGOTE akamilishe Ujenzi wa kiwanda chake kwani ameahidi kupatikana kwa Cement kwa bei nafuu.