Uchaguzi 2020 Pamoja na kuzindua miradi mbali mbali naona na kampeni inapigwa hapo hapo

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Mi naona kwa harakati hizi zinazoendelea za mh rais za kuzindua miradi mbali mbali kuna kampeni zinaendelea^kufanywa hapo hapo.

Upinzani mmeshashikwa pabaya mmeachwa sana shtukeni hamna lenu mwaka huu na leo form inarudishwa ya ugombea awamu ya pili mtasubiri sana mwaka huu.
Poleni sana
 
Sasa washtuke halafu wakabidhi mapapai kwa wananchi ama nini??

Tulipokuwa tunawaparua humu kuhusu shida na mahitaji ya wanachi,wanatuita lumumba buku 7.wao wako busy na uhuru wa kujieleza.
 
Mwaka huu hakuna kampeni mh rais yeye ndio anamalizia malizia hivyo
 
Mi naona kwa harakati hizi zinazoendelea za mh rais za kuzindua miradi mbali mbali kuna kampeni zinaendelea^kufanywa hapo hapo.

Upinzani mmeshashikwa pabaya mmeachwa sana shtukeni hamna lenu mwaka huu na leo form inarudishwa ya ugombea awamu ya pili mtasubiri sana mwaka huu.
Poleni sana
mchezo ushaisha zamani, ni kuzindua miradi mpaka siku ya kupiga kura, "protocol "......
 
[emoji124][emoji124]
Mi naona kwa harakati hizi zinazoendelea za mh rais za kuzindua miradi mbali mbali kuna kampeni zinaendelea^kufanywa hapo hapo.

Upinzani mmeshashikwa pabaya mmeachwa sana shtukeni hamna lenu mwaka huu na leo form inarudishwa ya ugombea awamu ya pili mtasubiri sana mwaka huu.
Poleni sana
isaac_horta_em_apartamento__20200630_1.jpg
 
Unataka vyama vya upinzani vifanyeje wakati hata wakikutana sebuleni wanafatwa na Defenda!?

Mwambieni Meko kuwa hapendwi!!
Analazimisha upendo kwa wananchi! Kiongozi anayekubalika hazuii wapinzani wake kufanya shughuli zao kwa kuwa kazi zake zinamlinda!!
 
Mi naona kwa harakati hizi zinazoendelea za mh rais za kuzindua miradi mbali mbali kuna kampeni zinaendelea^kufanywa hapo hapo.

Upinzani mmeshashikwa pabaya mmeachwa sana shtukeni hamna lenu mwaka huu na leo form inarudishwa ya ugombea awamu ya pili mtasubiri sana mwaka huu.
Poleni sana
Mbona kwa miaka yote minne yuko katika kampeni nchi nzima, wakati upinzani hata vikao vyao vya ndani, wanatiwa mshike mshike.
 
Wee huoni kila akizindua anapiga hapo na siasa kabisa?ndii kampeni tayari hiyo
 
Back
Top Bottom