Pamoja na kuzuia kivuko kufanya kazi, Kongamano la Katiba Mpya lafana Ukerewe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama tulivyowahi kueleza huko nyuma, nguvu ya umma haijawahi kuzuilika kamwe, hii ni kwa sababu binadamu si kama mifugo kwamba unaweza kuiburuza utakavyo.

Bavicha inaendelea na makongamano nchi nzima kama ilivyopangwa .

Hapa ni Ukerewe , 10/10/2021

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…