Pamoja na kuzungukwa na mameneja wengi bado Zuchu analalamika kutapeliwa na makampuni? Mameneja wake wanamzunguka?

Kwa hiyo amevumilia ameona aseme tuu
 
Pole sana kumbe unaumwa aiseee
Ugonjwa wa akili sio dhambi, cha kufanya wahi ili uanzishiwe dozi ili tusije tukakupeleka milembe kabisa ili ukamezee dozi huko
 
Ni wazi Zuchu katepeliwa na Ma meneja wake.........
ukipitia vzuri nyuzi zako zote hua ni against wcb sishangai hata hizi conclusion zako unazo ziweka hapa

 
sasa na hili nalo zuchu kamsingizia au amesema mwenyewe?
Huna lolote na wewe chawa
 
Basi ni wazi kabisa walikuwa wanadanganya kusema mkataba wake na zantel alilipwa mapesa mengi
Ndio kumbe kalipwa pesa mbuzi Kaka yao diamond huko marekani kavaa nguo kanunua kwa chid mapenzi halafu huko insta akamkana jamaa.
 
Yani hawa mamaku wakishaona kingkiba katoa nyimbo au album basi wataanza kujipitisha mmoja mmoja kwenye media.
 
Yani hawa mamaku wakishaona kingkiba katoa nyimbo au album basi wataanza kujipitisha mmoja mmoja kwenye media.

sasa watu watashindwa kufaynya mambo yao kisa ALBUM ya kiba bdugu yangu? nyie mashabiki wa kiba mnadeka sana bana
 
The price of ignorance... elimu ina umuhimu wake, mwogope mtu anakuambia elimu haina umuhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…